Tuesday, February 12, 2013

Maeneo ya Lobo; Serengeti National Park asubuhi hii

Lobo, Serengeti
Ni Picha iliyopigwa asubuhi hii na kutufikia sisi muda mchache uliopita. Kwa mujibu wa mdau Thomas, wa  HSK Safaris picha hii ameipiga maeneo ya Lobo eneo ambalo lipo ukanda wa magharabi wa wa Serengeti (Western Corridor).

No comments:

Post a Comment