Thursday, February 7, 2013

Ndinga Mupya ya Lakeland Africa. Itatumika safari ya weekend hii kwenda mikumi

 Lakeland Africa, Overland Truck
Ni Ingizo jipya ktk list ya magari ya safari ya kampuni ya Lakeland Africa. Overland truck unaloliona juu ndio limekabidhiwa kwa Lakeland Africa wiki na tayari litaingia mzigoni weekend hii Fer 9 - 10 kwa kuwapeleka watalii wa ndani hifadhi ya taifa ya Mikumi. Tofauti ya gari na la awali ni kwamba hili lina vioo badala ya maturubai kwa pembeni kitu ambacho ni muhimu kwa baadhi ya maeneo.

 Lakeland Africa, Overland Truck
Lina uwezo wa kubeba wageni 24

 Lakeland Africa, Overland Truck

 Lakeland Africa, Overland Truck
Linavyoonekana kwa ndani. Mgeni ana uwezo wa kufyatua kiti na kumwezesha kulala bila wasiwasi kama inavyokuwa kwenye mabasi ya safari ndefu.

 Lakeland Africa, Overland Truck

Lakeland Africa, Overland Truck
Ma-Locker ya kuwekea vitu vidogo vidogo vyenye thamani wakati wa safari.

 Lakeland Africa, Overland Truck

No comments:

Post a Comment