Monday, February 4, 2013

Nae yupo kwenye matembezini Jioni

Mikumi National Park
Tulimfuma huyu Sharubu akiwa anatembea kwenye moja ya njia za magari zilizopo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi hivi karibuni. Safari hii tulibahatika kuona Sharubu madume tu. Mandhari tuliyomkuta ilinifanya nijiulize mengi kwani ni mandhari ambayo inafanana na mazingira tunayoishi. Nikabaki najiuliza, ningefanya nini endapo nakutana nae ana kwa ana tena kwa ukaribu? Hii ilikuwa wakati wa evening game drive.

Mikumi National Park

No comments:

Post a Comment