Tuesday, February 26, 2013

FastJet kuanzisha safari za Kilimanjaro-Mwanza

Tumefurahi kuwatangaza wateja wetu kwamba, route zetu mpya za Kilimanjaro na Mwanza ziko mbioni kuanza! route hii itaanza kuruka Jumatatu Machi 18, kwa siku mara moja.
Utajipatia tiketi yako ya kwenda tu kuanzia TSh32, 000 (ukiondoa kodi & gharama zinginezo). Tiketi zinaana kuuzwa kesho (27/02/2013) kupitia tovuti yetu ya www.fastjet.com - Kumbuka wahi nafasi mapema kwa bei bora!

We’re excited to announce our new route between Kilimanjaro and Mwanza is confirmed! fastjet flights start on Monday 18th March, flying once daily each way.
One-way tickets start at just TSh32,000 (excluding tax & charges). Tickets go on sale tomorrow morning
(27/02/2013) at www.fastjet.com - Remember to book early for the best prices!

No comments:

Post a Comment