Tuesday, December 18, 2012

Ndege ndogo ya TANAPA yapata ajali Mpanda, Rubani ajeruhiwa

Ni ndege ndogo (namba ya usajili 5H FZS) yenye uwezo wa kubeba abiria 4 mali ya TANAPA, iliyoanguka jana (17/12/12; saa 10:55 jioni) muda mfupi baada ya kuruka kutoka katika uwanja wa ndege wa Mpanda. Rubani alikuwa peke yake na inaelezwa ya kwamba amepata majeraha usoni. 
Soma zaidi kwenye Kataviyetu Blog

Iligonga mti wa Maembe kabla ya kuanguka ardhini

Picha na habari kutoka Blog ya KataviYetu

No comments:

Post a Comment