Friday, December 7, 2012

Mdau Mosses wa UK anamtafuta rafiki yake Modi Ngoyejihabari yako, pole na kazi! nina ombi kwenu, nina rafiki yangu wa kitambo sana  ambae tulipotezana nae miaka mingi, yeye ni tour guide wa kitambo sana, anafanya kazi Arusha town na huko ndiko anakoishi, anaitwa Modi Ngoyeji. Ninaomba msaada wenu wa kunitafutia namba yake ya simu kama itawezekana. Anafahamika sana na karibu na ma-guide wote wa A town.

Moses,
uk.


No comments:

Post a Comment