Friday, October 26, 2012

"Watanzania wachache sana wanafanya walking safari..."


Sio maneno yangu bali ni maneno ya guide aliyeniongoza kwenye safari ya walking ndani ya Selous Game Drive mwaka 2010. Alikiri kuwa ni Watanzania wachache sana wanaofika Selous na kufanya Walking safari. Wachache wanaofika, hufika kwa game drive. Alikiri kuwa kwa mieze 7 aliyokuwa amekaa hapo Mtemere mimi nilikuwa ni Mtanzania wa kwanza kwa yeye kumuongoza kwenye walking safari ndani ya Selous maeneo karibu na geti la Mtemere.

Unaweza kuona video nyingine kupitia channel ya youtube ya Tembea Tanzania blog

No comments:

Post a Comment