Tuesday, October 9, 2012

Taswira za Machweo toka Mloka Rufiji

Wildness Safari Tanzania

Mdau Rajab wa Wildness Safaris Tanzania aliyekuwa safarini huko Selous Game Reserve katuletea mzigo huu wa picha za machweo ambazo alizipiga akiwa huko. Picha hizi zimepigwa pembezoni ya mto Rufiji, nje ya pori la akiba la Selous kwenye Kijiji cha Mloka.

Wildness Safari Tanzania

Wildness Safari Tanzania

Wildness Safari Tanzania
Eneo lote pembeni ya mto Rufiji ni maarufu kwa safari za boti hususan kwa wageni wanaokuwa wamefikia kambi za wageni ziliziopo katikati ya kijiji cha Mloka na Geti la Mtemere.

Wildness Safari Tanzania

Wildness Safari Tanzania
Shukran ya picha kwa Mdau Rajab toka Wildness Safari Tanzania

No comments:

Post a Comment