Wednesday, October 24, 2012

Palahala Camp - Katavi National Park

Palahala Camp  - Katavi National Park
Located in Katavi National Park, Palahala Camp is a perfect opportunity to experience a wildlife-rich, wonderfully tourist-free part of Africa. Katavi is a remote park in southwest Tanzania, home to more hippos and crocs than anywhere else in Africa. Palahala, "sable antelope" in Swahili, sits on the banks of the Kapapa River. Katavi reputedly has a higher concentration of mammals than any other reserve in Tanzania, and represents Africa the way it must have been a century ago.

Palahala Camp  - Katavi National Park
Moja ya mahema ya kufikia wageni ktk kambi ya Palahala huko Katavi NP

Palahala Camp  - Katavi National Park

Palahala Camp  - Katavi National Park
Hema kuu kwa ajili ya misosi na vimiminika

Palahala Camp  - Katavi National Park
Wageni wakiwa wengi wengina wanatengewa msosi wao sehemu ya nje ya hema kuu. Hapo unapata fursa ya kula msosi wako chini ya mbalamwezi mwanana ukiwa ndani ya hifadhi ya taifa ya Katavi.

Palahala Camp  - Katavi National Park
Safari ya matembezi ndani ya hifadhi kwa eneo linalozunguka hifadhi ni moja ya shughuli mgeni anayefikia ktk hoteli hii anaweza kufanya. kwa kuwa safari zinafanyikia ndani ya eneo la hifadhi, wageni ni lazima wasindikizwe na ranger mwenye silaha kwa ajili ya kujihami pale inapobidi. Palahala camp ni moja ya hotel/campsites zinazoendeshwa na kampuni ya Firelight Expeditions.
Bofya hapa kwa dondoo zaidi kuhusu camp ya palahala
http://www.firelightexpeditions.com/palahala/overview.html

No comments:

Post a Comment