Monday, October 1, 2012

Jiorodheshe kwenye TembeaTz Blog

 Timu ya Tembea Tanzania Blog ina kukurabisha wewe mmiliki au msimamizi wa kampuni inayojishughulisha na kuanda na kufanikisha safari za Utalii ktk vivutio vya hapa Nyumbani kujiorodhesha katk blog ya TembeaTz blog. Huu ni ukurasa ambao uinalenga kuwapa wageni na wenyeji wa blog ya TembeaTz nafasi ya kuijua kampuni yako na kisha kupelekwa kwenye tovuti ya kampuni yako. Bofya hapa kuona waliorodeshwa mpaka sasa.
Sambamba na makampuni, Blog ya TembeaTz pia inawakaribisha wadau na makampuni yanayomiliki au kutoa huduma za malazi katika mahoteli yaliyopo ktk miji na kule kwenye vivutio vya utalii ili wajiorodheshe nao. Bofya hapa kuona zilizoorodheshwa mpaka sasa.

Tutumie jina la kampuni au Hoteli/Camp site pamoja na link ya tovuti ya hotel au kampuni husika kwa njia ya barua pepe kupitia tembeatz@gmail.com

Link ya kukupeleka kwenye kurasa ambazo zina Makampuni ya utalii au Hoteli ambazo zimeshaorodheshwa mpaka sasa ni kama zinavyoonekana katika picha hii.

Karibuni,
KK

No comments:

Post a Comment