Tuesday, September 4, 2012

Tumerudi tena hewani...

Tembea Tanzania
Tumerudi tena kuendelea kukuletea habari na matukio mbalimbali yanayohusu sekta ya Utalii hapa nchini Tanzania. Tegemea kupata mambo mazuri na mapya. Kwa mwenye habari yoyote ambayo angependa iwekwe hewani asisite kuituma kwetu kupitia tembeatz@gmail.com na tunaahidi kuifanyia kazi ipasavyo.

KK,
Moderator

No comments:

Post a Comment