Friday, September 21, 2012

"Serengeti Ndogo" Arusha National Park

Ni Eneo la wazi ambalo lipo mita chache baada ya kuingia ktk hifadhi ya Taifa ya Arusha kwa kupitia geti la Ngongongare. Geti la Ngongongare ni lile ambalo lipo karibu na hoteli ya Ngurdoto. Eneo hili limepewa jina la Serengeti Ndogo kwa kuwa ni la wazi wakati sehemu kubwa ya hifadhi hii ni msitu. Tofauti ya msitu wa hifadhi ya Arusha na ule wa Manyara ni kwamba miti mingi inayoonekana ktk hifadhi ya Arusha ni miti ambayo huota ktk maeneo ya milimani. Uoto wa Manyara ni uoto wa Savana hii inatokana na ukweli ya kwamba hifadhi ya Manyara ipo ndani ya Bonde la ufa






No comments:

Post a Comment