Thursday, August 23, 2012

Video za wawindaji wakiwa ktk mawindo porini


 Ukienda youtube na kuandika "Hunting in Tanzania" utaletewa video lukuki za wawindaji ambao wamefanya uwindaji wa kitalii hapa Tz na kuweka video zao huko. Unaweza kucheza na hiyo query yako na kupata video tofauti tofauti kutegemea na kile utakacho. Niliyoiambatanisha ktk mtundiko huu ni moja ya Video niliyoipata tokea huko. Angalizo, Kama una roho nyepesi tafadhali usiiangalie.

Uwindaji una mchakato mrefu ikiwemo vibali vya kuwinda  mnyama umtakae, Uhakiki wa ukubwa na umiliki wa silaha itakayotumiwa na mwindaji ktk safari yake.

No comments:

Post a Comment