Wednesday, May 30, 2012

Pwani Maridhawa ya Kisiwa cha Mbudya - Dar Es Salaam

Picha ya Juu ni wakati maji yakiwa yamekupwa (kina kifupi)

Hapa ni wakati maji yakiwa yamejaa vilivyo.

Picha hii imepigwa tokea kwenye boti mida ya jioni wakati tukianza safari ya kurudi 'bara'

Misonge ya kupumzikia ipo. hii pwani inajulikana kama beach one, ipo nyinginen upande wa pili wa kisiwa inajulikana kama beach 2. Picha zote ni toka ktk maktaba ya Tembea Tz blog

1 comment: