Wednesday, May 30, 2012

Karibu Fair 2012 Arusha - Kazi inaendelea...

 Hizi ni Taswira zilizopigwa Jana (29/05) jioni katika uwanja wa Magereza nje kidogo ya jiji la Arusha ambapo maandalizi ya Maonesho ya Utalii ya Karibu kwa mwaka 2012 yanaendelea.

Uwanja unaanza kuchukua sura ya ki-maonesho


Picha zote na Mdau Sam Diah, Mratibu wa Karibu Fair 2012

No comments:

Post a Comment