Tuesday, March 13, 2012

Jaribio lilishindikana kuzaa matunda...

Kundi hili la Sharubu jike (kushoto) lilifanya jaribio la kumwangusha Nyati anayeoneka kwa mbali kulia. Kwa bahati mbaya au nzuri (kwa Nyati), jaribio hili halikufanikiwa na kuwafanya sharubu hawa kulala mbele na kuangalia ustaarabu mwingine. Sekeseke hili lilitokea karibu na Ziwa Manze na simba wanaonekana ni sehemu ya ile pride ya Lake Manze

No comments:

Post a Comment