Monday, January 30, 2012

Mchaka-mchaka wa Selous GR

Lilikuwa ni kundi la mbwa mwitu takriban kumi. safari hii lilikuwa limepumzika baada ya mchaka mchaka wa kusaka mawindo.

Mdau Tom alikutana nao ndani ya Pori la akiba la Selous hivi karibuni alipokuwa huko.

1 comment:

  1. Kwa mujibu wa wataalamu kutoka chuo cha uhifadhi wa wanyama pori-Mweka wildlife management collage, mbwa mwitu ni miongoni mwa aina ya wanyama pori ambao wako katika kundi la wanyama walioko hatarini kupotea duniani. Wadau tujitahidi kuwahifadhi kwa ajili ya wajukuu wetu jamani

    ReplyDelete