Friday, January 6, 2012

Ijue Lushoto na Milima ya Usambara kwa njia ya baiskeli

Kama mapafu yako yanaruhusu, Timu ya Mullers Mountain Lodge ya Lushoto inaweza kukuandalia safari ya kutembelea maeneo mbalimbali ya milima ya Usambara kwa njia ya Baiskeli. Wana Mountain bikes za kutosha tu kwa wageni wengi na wanatoa support husika mnapokuwa kwenye mizunguko.
Ni moja ya huduma ambayo wageni wengi huifuata Mullers ili waweze kujifunza na kuiona mandhari ya milima Usambara kwa ukaribu zaidi. Wanaweza pia wakakuandalia safari ndefu ya baiskeli itakayokufikisha hadi Pangani kwa kupitia njia za vijijini.

Bofya hapa kwa dondoo zaidi

No comments:

Post a Comment