Thursday, December 1, 2011

Unaona kitu gani kwenye hilo tawi la mbuyu?

Ni Kitu gani unaweza kukifananisha na hiyo sehemu la tawi la huu mbuyu?
Tuliulizana hili swali wakati wa game walk na kila mmoja aliibuka na jibu lake.

2 comments:

  1. kichwa cha mbogo. hivi wameuchonga au ndio ulivyo? kama ni asili basi ni maajabu ya Mungu.

    ReplyDelete