Friday, November 25, 2011

Ziwa Chala



Ni Moja ya maziwa ambayo yapo hapa kwetu lakini halivumi sana kwa wenyeji. Lipo mpakani mwa Tanzania na watani zetu wa jadi. Ziwa hili lina moja ya samaki adimu duniani. Pata dondoo zake zaidi kwa kubofya hapa

No comments:

Post a Comment