Ni Sehemu maarufu ndani ya Selous kwa ajili ya kupatia chakula cha mchana. Kijiwe hiki ni mti uliopo pembezoni kabisa mwa Ziwa Manze ndani ya Pori la akiba la Selous. Kwa bahati mbaya siku hii tayari kulikuwa na wageni wengine waliotutangulia. Sio sheria wala amri lakini mara nyingi mnapokuta kijiwe kimewahiwa, mara nyingi madereva hupenda kusonga mbele na kutafuta sehemu nyingine mwanana.
No comments:
Post a Comment