Friday, October 28, 2011

Mandhari Maridhawa ya Lake Shore Lodge & Campsite; Lake Tanganyika - Rukwa

Kushoto ni mtumbi ambao umeguezwa na kuwa sehemu ya mapumziko na maongezi kwa wageni. Kwa ujumla hapa ni mahali ambapo wageni wanapata fursa ya kupumzika kwa pamoja mida ya jioni baada ya jua kuzama.

Muonekana wa hoteli tokea ziwani.

Baadhi ya vyumba vya hoteli vinavyoonekana tokea Ziwani.

Moja ya vyumba ambavyo vipo ufukweni kabisa.

Ziwa lipo umbali usiozidi mita 10 tokea ngazi ya mwisho ya Chumba cha mgeni

Ni kama unaelea ziwani kabisa, kwenye mtumbi au mashua. Mdau aliipiga picha hii tokea kitandani.

Inavyoonekana tokea Angani.
lakeshorelodge.blogspot.com

[picha - Mdau wa Kima Safaris]

No comments:

Post a Comment