Tuesday, October 11, 2011

Bagamoyo - Msata: Daraja la mto Ruvu

Hili ndilo daraja la Mto Ruvu kwa njia ya bagamoyo msata.
Hapa ni ukiwa unatokea bagamoyo kuelekea Msata


Baada ya kulivuka daraja unakutana na hiki kijiji ambacho nacho
kipo ndani ya bonde la mto Ruvu

2 comments: