Sunday, August 28, 2011

Jioni moja ndani ya Serengeti National Park

Ni baadhi ya taswira zilizoletwa na mdau Tom wa Kima Safaris alipokuwa Serengeti NP hivi karibuni. Hapa alikuwa ni mida ya jioni akikamilisha game drive ya siku hiyo na kuelekea Hotel aliykuwa amefikia sambamba na wageni alioongozana nao.




No comments:

Post a Comment