Sunday, July 24, 2011

Naabi Hill - Serengeti

hapo ndipo utakapokutana na lango la Naabi Hill la kuingilia ndani ya Hifadhi ya taifa ya Serengeti kwa yule atakae kuwa anaenda kwa barabara akitokea Ngorongoro. Unaweza ukawa tayari umeingia ndani ya hifadhi ya Serengeti lakini hapo ndio kuna ofisi za kufanyia usajili na kupata vibali vya kuingia rasmi ndani ya hifadhi ya Serengeti. (Picha - Maktaba ya Tembeatz)

No comments:

Post a Comment