Monday, June 6, 2011

Offer maalum kwa Karibu fair

Kampuni ya Hans Paul Automech Ltd ya mjini Arusha imetangaza ofa maalum kwa ajili ya maonesho ya KAribu fair 2011 kwa yeyote yule ambae atapenda gari yake kufanyiwa marekebisho na kuipa uwezo wa kuwa gari la safari za kitalii. Bango hilo lililokuwepo ktk banda lao ktk maonesho ya Karibu fai linajieleza lenyewe. mwisho wa offer hii ni 30th June 2011.

LinkBaadhi ya magari yaliyokuwepo kwenye banda la hanspaul automech ltd. Kampuni hii ilikuwa ni moja ya wadhamini wakuu wa 2011 Karibu fair
www.hanspaul.co.tz

No comments:

Post a Comment