Monday, June 20, 2011

Njia panda kuelekea Mkomazi NP

Mkomazi ni moja ya hifadhi ya taifa iliyopo mkoani Kilimanjaro, wilayani ya Same. Mkomazi inafikika kwa gari ambapo mgeni anakuwa na njia mbili zinazoweza kumfikisha. Ya kwanza ipo Same na nyingine ndio inayoonekana ktk mtundiko huu iliyopo karibu na Mombo. Milima inayoonekana kwa mbali ni safu ya milima ya Usambara.


Safari kuelekea Mkomazi huanzia hapa

Njia ya kuelekea Mombo, Korogwe, Segera na kwengineko
http://tanzaniaparks.com/mkomazi.html

No comments:

Post a Comment