Saturday, June 4, 2011

Karibu fair inaendelea

Viwanja vya magereza ambako maonesho ya Karibu yanaendelea yanavyoonekana tokea control tower ya Arusha Airport. Maonesho ya Karibu fair 2011 yanaendelea leo na Tamati itakuwa kesho
Bofya hapa kupata ratiba ya maonesho

No comments:

Post a Comment