Saturday, June 4, 2011

Karibu fair cocktail party at Mount Meru Hotel

Ijumaa usiku uongozi Karibu Travel & tourism fair kwa kushirikiana na Mount Meru hotel waliandaa cocktail party iliyofanyika Mount Meru Hotel. Cocktail hii iliwaweka washiriki wote wa 2011 KAribu fair kwa lengo la kupata muda zaidi wa wote kukutana na kubadilishana mawazo.Picha juu ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Nd Raymond Mushi akizungumza kabla ya kumkaribisha Naibu waziri wa viwanda na biashara Mhe. Lazaro Nyalandu kuzungumza na wageni.

Mhe Lazaro Nyalandu akizungumza ktk cocktail party iliyofanyika ktk hotel ya Mount Meru. Mhe Nyalandu amemuwakilisha waziri mkuu ktk uzinduzi wa 2011 Karibu fair


Wadau mbalimblia walijumuika pamoja


No comments:

Post a Comment