
Soma zaidi kwa kubofya hapa...
Bofya hapa kuona walioingia kwenye Kinyang'anyiro cha mwaka huu ktk vipengele mbalimbali vya mashindano haya. Hotels na Campsites kadhaa toka Tanzania zipo ndani ya kinyang'anyiro cha 2011. Shughuli ya Kutoa zawadi itakuwa Tarehe 6 May 2011.
Ukibofya hapa na kwenda sehemu ya Tanzania, utaona makampuni toka Tanzania yaliowahi kushiriki ktk awards za awali na yale yaliyomo ktk mtanange wa 2011
Tembelea sehemu ya Vote ili uweze kujua namna ya kumpendekeza mshindani ktk awards hizi.
No comments:
Post a Comment