Wednesday, May 4, 2011

Njia panda zipo nyingi ati!...

Njia ya Kushoto itakufikisha Ras Kutani.
Njia ya kulia itakupeleka Amani Beach Hotel

Hoteli zote mbili zipo nje kidogo ya jiji la Dar usawa wa Kigamboni eneo lijulikanalo kama Gomvu

No comments:

Post a Comment