Saturday, May 7, 2011

Bei za huduma mbalimbali ktk hifadhi za Taifa

Ubao huu wenye bei za huduma mbalimbali niliuona ktk geti la kuingilia kwenye hifadhi ya taifa ya Tarangire. Kumbuka ya kwamba, TANAPA ilianza utekelezaji wa mpango wa malipo kwa njia ya electronic ktk hifadhi inazozisimia. Malipo ktk hifadhi sasa yanafanywa kwa kutumia card za benki zilizounganishwa ktk mtandao wa VISA, MASTERCARD au kwa kutumia kadi maalum zinzotolewa na CRDB. Bofya hapa kwa taarifa zaidi

No comments:

Post a Comment