Thursday, April 7, 2011

Taswira za Sabora Tented Camp - Singita Grumeti

Sabora Tented camp ni moja ya hoteli tatu zilizopo ndani ya Singita Grumeti Reserve. Kila mmoja ya hizi hoteli ina utofauti wa namna yake. Sabora ni Tented lodge. Picha juu ni moja ya mahema ambayo mgeni anaweza fikia. Hema hili lipo ndani ya eneo tengwa la Grumeti eneo ambalo ni sehemu ya ecosystem ya Serengeti

Baadhi ya mehama yanakuwa na bwawa lake la kuogelea kwa ajili ya wageni waliofikia hema husika. Miti unayoiona ni sehemu ya pori tengwa la grumeti. Kila hema lina upekee wa namna yake na huduma kedekede ndani.

(Picha Mdau Bony wa Karibu Fair)

No comments:

Post a Comment