Friday, April 22, 2011

Serengeti NP inavyoonekana toka Serengeti Serena Lodge


Ni clip iliyopigwa toka chumba kimoja kilichopo Serengeti Serena lodge. Hii ipo maeneo ya katikati ya Serengeti. Eneo ilipo hoteli hii kuna miti mingi tofauti na wengi tunavyodhani ya kwamba Serenegeti yote ni uwanda wa nyasi. Sikiliza milio ya ndege mbalimbali.

No comments:

Post a Comment