Friday, April 22, 2011

Kuelekea Maundi Crater - Njia Panda

Maundi crater ipo m875 juu zaidi ya Mandara hut (toka usawa wa bahari). ni mwendo wa takriban dakika 15 toka Mandara Hut. Njia itakayokupeleka Maundi crater ndio hiyo hiyo inayoelekea Horombo japo kuna mahali mtachepuka. Picha juu inaonyesha sehemu ambayo kuna njia panda. Njia ya kulia ni njia itakayokupeleka Maundi crater ilhali ya kushoto (inayonyooka) ndio inayoelekea Horombo na kwengineko

Upande wa pili kuna kibao kinachowaelekeza wale wanaotoka Maundi crater ili waelewe wapi pa kwenda.

Kipo kibao kinachoonyehsa njia ya kufuata kuelekea Maundi crater kwa yule anayetokea Mandara hut

Baada ya kupita njia panda kuna daraja

No comments:

Post a Comment