Monday, April 11, 2011

Mpaka wa Holili

Ni mmojoa wa mipaka kati ya nchi yetu na +254 uliopo ktk mkoa wa Kilimanjaro. Mpaka huu upo takriban kilomita 25 Tokea Himo njia panda. Geti unaloliona juu ni geti la kuingilia ndani ya eneo la ofisi za TRA na uhamiaji.

No comments:

Post a Comment