Monday, April 18, 2011

Makutano ya barabara ya wapagazi na wageni - Marangu Route

Hapa ndipo mahali ambapo zile barabara mbili zinapokutania. Daraja la upande wa kulia ndipo inapoelekea njia ya wapagazi na wahifadhi na hiyo inayoaelekea kulia ndio mahususi kwa wageni na wasindikizaji. Ki muelekeo, huyo porter unayemuona alikuwa anashuka kuelekea Marangu gate.

Njia unayoiona ndio ya wapandaji na wasindikizaji (guides)


Vibao vikitoa maelekezo kwa wapandaji ili wafuate njia husika.

No comments:

Post a Comment