Monday, March 14, 2011

Ni Kweli utomvu wake unawasha?

Niliwahi kuona ktk moja ya zile filamu za The gods must be crazy jamaa akijikuna mpaka kupoteza malengo na kuishia kujisalimisha kwa mpinzani wake baada ya kudondokewa na utomvu uliotoka ktk mti wa Mkakati (Cactus). Hivi ni kweli utomvu wa mtu huu unawasha kiasi kile au chumvi iliongezewa?... (picha TTB, Ruaha NP)

No comments:

Post a Comment