Thursday, February 17, 2011

Unapokuwa njiani kutoka Ngorongoro kuelekea Serengeti...

Unapata fursa ya kuona wanyama wengi wa porini wanaopatikana pembezoni mwa barabara hii. Kimsingi, hifadhi ya taifa ya Serengeti na eneo la Uhifadhi la Ngorongoro vinapakana. unapoiacha NCAA unaingia hifadhi ya taifa ya Serengeti.

Hili lilikuwa ni moja ya makundi mengi ya twiga aka warefu tuliokutana nao tukiwa njiani kuelekea hifadhi ya taifa ya Serengeti kwa gari.

(Picha|maktaba ya TembeaTz)

1 comment:

  1. Nice photos
    Hii ndio ile barabara yenye mzozo na wanamazingira

    ReplyDelete