Thursday, December 9, 2010

wakiwa kundi jua una afadhali....

Nyati aliyepeke yake ni wa kumuogopa. Unapokutana na kundi, basi jua unaweza kutoka salama bila ya kashkash zozote. hii ni hususan na mgeni ambae atakuwa anafanya safari ya matembezi ndani ya eneo la hifadhi.

Ruaha NP

1 comment:

  1. Mbogo aliye peke yake ni hatari sana. Mpitie mbali sana.

    ReplyDelete