Friday, December 10, 2010

Lagoon Walk, Ras Kutani

Unapokuwa sehemu ambayo magari huwaleta wageni wanaofika Ras Kutani kwa ndege (toka ktk Airstrip ya Hoteli) unakutana mandhari nzuri ya bahari. Eneo hili lipo kwenye mwinuko na kukufanya kiuiona bahari vyema japo ni kwa mbali.

Unapozidi kuingia ndai, umbali kati ya pande mbili za lagoon unapongua. Lagoon inakuwa nyembamba lakini bado inakuwa inazidi kuendelea kuingia ndani nchi kavu.

Moja ya njia unazopita unapowa unafanya lagoon walk pembezoni mwa hoteli ya Ras Kutani huko Gomvu (Kigamboni).

Unapochomoza toka kwenye 'msitu' wa mikoko na miti mingine unaibuka mahali mita kadhaa toka ilipo hotel na kupata mandhari uionayo ya hotel ya Ras Kutani.

No comments:

Post a Comment