Friday, December 10, 2010

Fish Eagle

Ni aina ya mwewe ambae hupendelea kula Samaki. Kwa kupendelea kitoweo hiki, ndege huyu anauweza wa kumdaka samaki akiwa ndani ya maji huku yenye akiwa anaruka angani.

Samaki wanapoadimika huungana na ndege wengine kula mazoga na mabaki ya mawindo ya wanyama wengine pamoja na kula mizoga. Hulatikana ktk maeneo ndani ya hifadhi yaliyo karibu na mito au mabwawa. Picha ya juu imepigwa ktk hifadhi ya Taifa ya Ruaha na ya pili imepigwa ktk pori la akiba la Selous. Ahsante ya picha - Kima Safaris

2 comments: