Monday, November 15, 2010

ngoitoktok

Ni picknick site iliyo shimoni (ndani ya ngorongoro crater). Maji ya bwawa ulionalo ni ya kawaida tofauti na mabwawa mengi yanayopatikana ktk ukanda wa bonde la ufa ambayo maji yake ni alkaline. Viboko wanapatikana hapo. Eneo hili linafahamika sana kwa wale vipanga wanaonyang'anya wageni chakula walichoshika endapo mgeni atakuwa amekaa sehemu ya wazi, nje. Shukran ya picha - mdau JSK

No comments:

Post a Comment