Monday, November 8, 2010

Msaada...

Wadau,
Kuna mdau mwenzetu amenitumia hii taswira maridhawa bila ya maelezo yoyote. Juhudi zangu kumpata anipe maelezo yake zimegonga mwamba maana nahisi kama vile email zangu zinaingia kwenye junk mail kwakuwa sipati majibu toka kwake.
Picha yenyewe ina kila vigezo vya kuwa taswira maridhawa, naomba msaada wenu wadau. Kuna yoyote anayejua hii taswira imepigwa wapi?

2 comments: