Sunday, October 3, 2010

ziwa la Mzizimia moja, Selous GR

Nyumbu wakinywa maji katika ziwa (ox-bow lake) la Mzizimia one (mzizimia moja) lililopo ndani ya pori la akiba la Selous huko mkoani pwani.

Mzizimia one ni moja ya ox-bow lakes zinazotengenezwa na mto Rufiji ndani ya pori la akiba la selous.

Picha hizi zilipigwa wiki iliyopita na mdau Tom wa Kima Safaris aliyekuwa huko wiki iliyopita

No comments:

Post a Comment