Sunday, October 3, 2010

Mto rufiji

Mto rufiji kama unavypoonekana ktk taswira hizi zilizopigwa wiki iliyopita na mdau Tom wa Kima Safaris, nje kidogo ya pori la akiba la Selous.

Picha hizi zimepigwa tokea Hippo Campsite mahali ambapo mdau aliweka kambi hivi majuzi. Hippo camp ipo katika kijiji cha Mloka, kando kando kabisa ya mto Rufiji takriban kilomita moja na nusu toka geti la mtemere, geti la kuingilia pori la akiba la selous.

Upande unauona kwa mbali ndio ilipoa Selous GR. ahsante ya picha kwa mdau Tom wa Kima Safaris

No comments:

Post a Comment