Thursday, October 28, 2010

Utafanya nini?.....

Endapo mwenzako anavamiwa na kuanza kushambuliwa (kukabwa) na chatu? Utachukua hatua zipi ili uweze kumuokoa mwenzako asikumbwe na mauti? Tafakari na tushirikishane ktk kutafakari...

No comments:

Post a Comment