Thursday, October 28, 2010

Tarangire......

Nilijikuta naacha kula chakula na ghafla nikawasha kamera na kuanza kumpiga picha kdhaa ndege huyu aliyetua ktk mti karibu na meza tuliyokaa kupata maakuli Matete picnick site, Tarangire. Sijafanikiwa kupata jina na dondoo zake. Kwa sasa furahieni taswira yake....

No comments:

Post a Comment