Monday, October 18, 2010

Taswira toka Serengeti

Familia ya tembo ikinywa maji kwenye moja ya kingo za mto Seronera ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti

Cerval cat (mwenye jina lake la Kiswahili atusaidie). Huyu mnyama ni jamii ya paka japo umbo lake ni kubwa kidogo ukililinganisha na paka tunaofuga majumbani.

No comments:

Post a Comment