Monday, October 18, 2010

Tarangire

Taswira hizi zilipigwa toka eneo moja pembezoni mwa mto Tarangire. Eneo hili lipo kwenye mwinuko/mlima hali ambayo inatoa view nzuri ya hifadhi ya Tarangire

picha toka ktk maktaba ya TembeaTz

No comments:

Post a Comment